Hemed Suleiman Abdalla

Hemed suleiman Abdulla

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar
Aliingia ofisini 
2020
Rais Hussein Mwinyi
mtangulizi Seif Ali Iddi

tarehe ya kuzaliwa 5 Aprili 1973 (1973-04-05)
utaifa Mtanzania

Hemed Suleiman Abdulla (amezaliwa 5 Aprili 1973) ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar katika Serikali ya awamu ya nane iliyoingia madarakani mwaka 2020.[1] Anatokea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-10. Iliwekwa mnamo 2020-11-10. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy